alt text

Slimming Capsule


Viungo:

Cassia Seed, Lotus Leaf, Mulberry, Hawthorn, Neroli, Jasmine, Rose

Slimming Capsule Capsule

Kazi na Faida zake:

  1. Kuongeza kasi ya uvunjaji na ujenzi wa kemikali mwilini ili kuongeza kasi ya uunguzaji wa mafuta
  2. Kupunguza uchukuaji wa kalori wa mwili kwa kupunguza ulaji
  3. Kusaidia kupunguza unene kwa usalama na taratibu bila kurudiwa na unene wala kuacha mikunyanzi
  4. Kazi mbili, kupunguza unene na kuufanya mwili kuwa mrembo


Inafaa Kutumika Kwa:



Maelezo Muhimu:


Cassia Seed:
Mchujo kutoka cassia seed unachochea upunguzaji wa unene kutokana na tabia yake ya kuuamsha mwili utoe mabaki ya chakula, kwa kuulainisha utumbo mpana na kuufanya ulegee. Cassia seed ni dawa ya macho, figo na utumbo. Huondoa tatizo la liver fire, ambalo kwa tiba za asili za kichina, huaminiwa kuwa ndicho chanzo cha matatizo ya maumivu ya kichwa, kizunguzungu, miungurumo kwenye masikio na kukosa usingizi.

Lotus Leaf:

Slimming Capsule Capsule

Alkaloids na flavonoids zilizopo katika mchujo wa lotus leaf hupunguza glyceride na cholesterol katika damu kwa kiwango kikubwa. Wakati huo, zinasaidia upataji wa haja ndogo na mtiririko wa chakula katika utumbo kwa hivyo kuongeza kasi ya utoaji wa mabaki ya uvunjwaji wa kemikali na sumu nje ya mwili.

Hawthorn:
Hawathorn ina flavonoids, hawthorn acids, procyanidins, vitamin C, lipase na vitu vingine vyenye nguvu ya kupunguza kiwango cha lipid katika damu. Katika baadhi ya nchi za Ulaya, mchujo wa hawthorn huchukuliwa kama tiba salama na yenye nguvu kwa matatizo yasiyo makubwa ya moyo kushindwa kusukuma damu kwa kiwango kinachotakiwa (Congestive Heart Failure) kutokana na uwezo wako wa kuboresha kiwango cha damu kinachosukumwa na moyo.

Mulberry:

Mulberry katika kitabu cha sasa cha Chinese Materia Medica imewekwa kwenye kundi la tiba ya damu, inayoboresha utengenezaji wa seli za damu. Kiutamaduni, mulberry imetumika kama kitu cha kulisha yin na damu, kusaidia figo, na kuondoa udhaifu, uchovu, chembe chembe nyekundu za damu,na kuota mvi mapema. Inatumika pia kwa tatizo la mkojo kutoka bila ridhaa, miungurumo ndani ya masikio, kizunguzungu, na kukosa choo kwa watu wenye umri mkubwa na wenye ukosefu wa damu. Viungo vya vitamini C, B-carotene, selenium na flavonids huboresha kinga na kufanya kazi kama antioxidants .

Rose:
Mafuta muhimu na mepesi katika mchujo wa rose yameonyesha tabia ya kupunguza mgandamizo kwenye mishipa ya damu wakati moyo unajaza damu (systolic blood pressure), na kiwango cha chalesterol kwa ujumla. Faida za mchujo wa rose ni zaidi ya ile ya kuwa na uwezo mkubwa kama antioxidant. Mchujo huo una sifa zilizothibitishwa za kuondoa uvimbe na kupunguza maumivu yanayohusishwa na osteoarthritis, rheumatoid arthritis na maumivu ya sehemu ya chini ya mgongo.



.

Joint Health



<<<<< MWANZO